Saturday, March 19, 2016

ZarimondNasibu Abdul ‘Diamond’ na mama mtoto wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.
 STAA wa Bongo Fleva asiyechuja kwa takriban miaka 7 mfululizo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameeleza mikakati yake kuwa ana mpango wa kumpa mimba nyingine malkia wake wa nguvu, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Risasi Jumamosi linakuhabarisha.

Diamond ambaye tayari amejaaliwa mtoto mmoja (Tiffah) na mrembo huyo raia wa Uganda, amefunguka jambo hilo hivi karibuni alipokuwa akifanya mahojiano mafupi na mwanahabari wetu kuhusu mikakati yake ya kimaisha. 

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:

Post a Comment