February 29 zilitoka taarifa za msiba wa mama mzazi wa marehemu Banza Stone, taarifa hizo zilitoka na kusambaa katika mitandao ya kijamii kuwa mama Banza Stone Bi Khadija Jabir alifariki saa moja baada ya kufariki mjukuu wake ambae awali iliripotiwa kuwa dada wa marehemu Banza Stone.
Team ya millardayo.com ilifuatilia kwa kina undani wa suala hili na kupata majibu kwa kaka marehem Banza Stone ambae ni Jabir Ally Masanja >>>“Ni kweli mama yake Banza alifariki saa moja baada ya kupokea taarifa za msiba wa mjukuu wake ambae alikuwa anasumbuliwa na kifua kikuu kwa mwezi nusu sasa

0 comments:
Post a Comment