Wednesday, March 2, 2016




Abel Sichembe
Abel Sichembe  

Wana jukwaa, taarifa nilizozipata ni kuwa, Wenje
hajashinda Kesi ya Msingi ya kuiomba mahakama itengue ushindi wa mgombea aliyetangazwa mshindi wa CCM Stanslaus Mabula. Ila ni kuwa baada ya Wenje kufungua Mashitaka ya Kupinga Ushindi wa Mabula wa CCM, Mabula na Wakili wake waliiwekea kesi hiyo pingamizi mahakamani kuwa mashitaka hayo hayana maana. Kwa hiyo mahakama imetupa pingamizi hilo na hivyo kesi ya Msingi itaendelea Jumatatu.

0 comments:

Post a Comment