Saturday, March 19, 2016


Star wa Filamu Bongo, Wastara Sadifa, amesema hakuna tatizo litakolomkuta kwenye Ndoa kwa sasa ambalo litamshangaza kwa sababu karibu majaribu yote ameshakutana nayo.ndoa-ya-wastaraAkizungumza kupitia kipindi cha Twenzetu cha Times Fm, nyota huyo wa Filamu amedai kwa umri wake na mahusiano
aliyopitia hakuna kitakachomtisha. “Hakuna kipya kitakachonitisha, kwa umri huu nilionao hakuna Changamoto mpya” alisema.
Wastara na mpenzi wake wa zamani Bond Bin Sinnan
Wastara amefunguka pia mwanae wa Kwanza Sameer anatimiza miaka 18 mwezi wa sita, wapili ni Faris anamiaka 11, na Farheen mwenye 

0 comments:

Post a Comment