Wednesday, March 23, 2016

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya Polisi Zanzibar jioni hii, kuhusu hali ya usalama ilivyo shwari Pemba na Unguja.

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga , akitoka baada kuzungumza na waandishi wa habari katika Makao Makuu ya Polisi Zanzibar jana, kuhusu hali ya usalama ilivyo shwari Pemba na Unguja. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

0 comments:

Post a Comment