Tuesday, March 8, 2016

ra1
Waziri wa  Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano  Prof. Makame Mbarawa akizungumza na wafanyakazi wa  Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) katika mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.

ra2

ra3
Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wakimsikiliza Waziri wa  Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano  Prof. Makame Mbalawa (Hayupo Pichani) katika mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Picha zote na Ally Daud MAELEZO
ra4

0 comments:

Post a Comment