Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shehena ya sukari wakati alipotembelea ghala la kwanda cha Sukari cha Kagera akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la mpaka kati ya Tanzania na Uganda kwenye Ranchi ya Missenyi mkoani Kagera Machi 14, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Missenyi,Festo Kiswaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wananchi wa Uganda waishio mpakani wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipotembelea kijiji cha Benkoma wilayani Missenyi akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 14, 2016. Wananchi hao wa Uganda walivuka mpaka ili kumuona Waziri Mkuu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Uganda waishio kwenye mpakani waliovuka mpaka ili kumuona wakati alipotembelea kijiji cha Benkoma wialyani Missenyi akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wananchi wa Uganda waishio mpakani wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipotembelea kijiji cha Benkoma wilayani Missenyi akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 14, 2016. Wananchi hao wa Uganda walivuka mpaka ili kumuona Waziri Mkuu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment