Mwanamuziki mkongwe wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Papa Wemba amefariki dunia baada ya kuanguka akitumbuiza jukwaani huko nchini Ivory Coast.
Taarifa zimeeleza kuwa Wemba aliyekuwa na umri wa miaka 66 amefariki akitumbuiza jukwaani huko Abidjan nchini Ivory Coast.
0 comments:
Post a Comment