Saturday, April 30, 2016


Juzi April 24 ilikuwa ni Birtday ya Mwanamuziki Rema Namakula ambapo alitimiza Miaka 25 na Siku hiyo Mpenzi wake ambaye pia ni Msanii Maarufu toka Uganda Eddy Kenzo alimfanyia Bonge la Party la Kimya Kimya kwenye Hoteli moja Maarufu Nchibni Uganda.
Eddy Kenzo Alim-suprise Rema kwa Kumpeleka Fairway hotel iliyoko Kampala na Rema Kushangaa kaandaliwa Mpaka Msanii wa Kumuimbia kwa Niaba ya Eddy Kezno.
Msanii aliyepewa Jukumu hilo na Kulifanya Ipasavyo ni David Lutaalo ambapo alimuimbia Ngoma zake kama  ‘So Nice’ na ‘Ujuuwe’ Huku birthday girl na Eddy Kenzo wakijimwaga kwenye Dance Floor.
Wakiwa ndani ya Mavazi Meusi Waliutumia Mchana na Usiku katika Hotel Hiyo kitu kinachoonyesha kuwa Kenzo Anampenda sana Mpenzi wake huyo ambaye Wamepitia Mengi Makubwa ikiwa ni Pamoja na Kipindi Flani ambapo Eddy Kenzo ilisemekana alimcheat Rema kwa Kutoka na Mdogo wa Zari The Boss Lady
Kwenye Kufika Eneo la Tukio, Rema alishangaa Kuona Ndugu, Jamaa na Marafiki wakiwa wanawasubiri na Kulakiwa na Wimbo Mzuri wa Birthday.

0 comments:

Post a Comment