Mshindi wa Tuzo ya Oscar Mkenya, Lupita, Nyong’O, ameonyesha moja ya ngoma zinazombamba kwa sasa kwenye list ya midundo inayofanya vyema Afrika.
The talented actress, ametmua Simu yake kujichukua Kipande cha Video akicheza wimbo wa Msanii toka Nigeria Lil Kesh ambao unafanya vyema kwa sasa ukiwa umepewa jina la Efejoku.
LIL KESH Lil Kesh amechukulia heshima aliyopewa na Lupita Positively na kuamua kupost kipande hicho kwenye Account yake ya Instagram na kuipa Caption

0 comments:
Post a Comment