Hafla ya kumuaga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya mstaafu Abass Kandoro leo. Amewashukuru sana wananchi wa Mkoa wa Mbeya kwa ushirikiano waliompa katika uongozi waje wa miaka minne mkoani mbeya
Mkuu mots wa Mkoa wa Mbeya Amos Mskalla amewaomba wananchi ushirikiano katika kutekeleza majukumu yake amewahidi ataanzia alipoishia mtangulizi wake na amewaekeza kuwa amekuja Mbeya kufanya kazi na siasa na dira yake ni kutekeleza ilani ya Chama tawala, kushughulika na Kero za wananchi, kusimamia Mipango ya maendeleo na kuhakikisha Mkoa wa Mbeya una amani na utulivu


0 comments:
Post a Comment