Wednesday, April 27, 2016

Inasadikiwa kwamba hatimaye Le Mutuz Nationa ameamua kuingia kwenye Ndoa tena na huyu Mrembo Super Model Rachel, akiandika kwenye Instagram yake Le Mutuz Nation anayejulikana kama The King Of All Bongo Social Media Network alisema... "My baby Super Rachel, ananifanya nifikirie kuoa tena nampenda mpaka naumwazzz"...Mrembo huyo Rachel ni Msomi pia aliyesomea Austarlia mambo ya Production za Vipindi vya TV.

0 comments:

Post a Comment