![]() |
Katika ziara hiyo ambayo aliambatana na watendaji mbalimbali wa Halmashauri ya manispaa ya Kinondoni, Mh. Hapi alikagua na kupokea taarifa ya miradi mbalimbali iliyokamilika na inayoendelea kukamilika. Ushauri wangu kwakwe: Usikubali kupokea taarifa mezani za kumalizika au kuendelea kwa miradi. Hao watu ni wajanja sana uliokuwa nao, wana uwezo wa kumaliza mradi kwenye karatasi na wakati ukienda nje maskini ya Mungu huo mradi ndio kwanzaaaa haujaanza. |
Wednesday, April 27, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment