Sunday, April 17, 2016


Beauty of The Day: Huyu mrembo ndiye anayedaiwa kuwa demu mpya wa rapper Drake. Katika page yake ya Instagram, mrembo huyu anayeitwa Lira Galore, ameandika kuwa ni model na actor;

lakini baadhi ya website zimemuandika kuwa ni dancer wa utupu (stripper.) Vyovyote itakavyukua, umwana ni mzuri mpaka anakera

0 comments:

Post a Comment