Stori: Mwandishi Wetu, Ijumaa
DAR
ES SALAAM: Baada ya mpenzi wake kunyakuliwa na staa wa Bongo Muvi,
Elizabeth Michael ‘Lulu’, mwanamitindo Hamisa Mobeto amedaiwa kuingia
kwenye penzi la mfanyabiashara Mkongo, Mwami Rajabu ambaye ana msururu
mrefu wa mastaa aliowahi kudaiwa kutoka nao.
Kabla ya kumnasa Mobeto,
Mkongo huyo ameshawahi kuripotiwa kutembea na mastaa warembo tofauti
Bongo akiwemo Husna Maulid, Jacqueline Wolper, Agnes Gerald ‘Masogange’,
Tunda Sabastian na Wema Sepetu.
0 comments:
Post a Comment