Stori: Mayasa Mariwata na Gladness mallya, Ijumaa
Wakati
mama yake, Flora Mtegoa (pichani), baadhi ya wasanii na mashabiki wake
wakikumbuka miaka minne ya kifo cha aliyekuwa staa mkubwa wa filamu za
Kibongo, Steven Charles Kanumba ‘The Great’, kumezuka sintofahamu ya
kukutwa ujumbe mzito wa kimapenzi kaburini kwa msanii huyo ambao
unadaiwa kuwekwa na mrembo aliyefika mahali hapo mapema wiki hii.
0 comments:
Post a Comment