Posted by Williammalecela.com on Tuesday, April 12, 2016
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb) akifungua Mafunzo juu ya Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) kwa Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania yaliyofanyika mjini Dodoma.
Katibu Mkuu Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza wakati wa Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) kwa Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania yaliyofanyika mjini Dodoma.
Mmoja wa washiriki wa Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) akiuliza swali wakati wa mafunzo yaliyofanyika mjini Dodoma.
Mmoja wa washiriki wa Mafunzo hayo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Bibi. Sipora J. Liana akiuliza swali wakati wa mafunzo yaliyofanyika mjini Dodoma.
Washiriki wa Mafunzo hayo wakimsikiliza mgeni rasmi Mh. Angellah Kairuki (Mb), (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo –Dodoma.Mkutano ukiendelea
0 comments:
Post a Comment