Posted by Williammalecela.com on Tuesday, April 12, 2016
 |
Pamoja na Dunia nzima jana kushuhudia Mama yake Le Mutuz Nation
akiutumbuliwa jipu na Rais Magufuli jana kwa kumuondoa Ukuu wa Mkoa wa Shinyanga baada ya siku 28 tu toka ampe kazi hiyo, Super Star huyo jana alionekana kwenye Hoteli ya Kifahari na kitalii ya Double Tree Hilton Hotel Masaki akila bata na wasichana wa kileo kama kawaida yake. Le Mutuz Nation alipopigiwa simu na kuulizwa kulikoni alijibu kwamba haongei mambo ya siasa kwenye starehe akawataka waandishi wa habari kumtafuta kesho yake na leo alipopokea simu alisema tu "Nipo busy najitayarisha na safari ya South Africa labda nikirudi niulizeni ila kwa sasa nipo busy sana U know!" |
 |
| Kwenye Instagram ya Mfalme wa Social Media Tanzania aliandika "Hanging out with my baby Lisa visiting from London/UK at the Double Tree Hilton Hotel" |
0 comments:
Post a Comment