Monday, April 25, 2016

Mkuu wa Mkoa Mh. Amos Makala, Akutana na kuongea na baraza ka askari Mkoa wa Mbeya wakiwemo kamanda polisi Mkoa, ma Ocd wa wilaya zote, maafisa na askari wa kawaida na kuwataka kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na weledi , awataka wahakikishe Mkoa unakuwa shwari wahakikishe wanaoambana na majambazi na wahalifu
Mkuu Mkoa pia amekuwa miongoni mwa viongozi waliohakikiwa silaha zao na amewataka wananchi wote kuhakiki silaha zao
Aidha amewataka kuharakisha upelelezi wa kesi kupunguza msongamano wa wafungwa gerezani

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makal ali[pokwenda Polisi kuhakiki silaha yake ya binafsi.



0 comments:

Post a Comment