Posted by Williammalecela.com on Monday, April 25, 2016
 |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala atembelea gereza kuu la Luanda Mbeya akagua Malazi, zahanati na kula Chakula gerezani Pia ameongea na wafungwa na mahabusu na kuwahaidi kufuatilia tatizo la uchekeweshaji kesi kwa kisingizio cha upelelezi Amewatembelea wachezaji wa timu ya Prison na amepatiwa jezi ya prison kama alwalivyofanya Mbeya city waliompa jezi ya jina lake Amezitaka timu za Prison na Mbeya city kubaki ligi kuu ili zijipange vizuri ligi kuu Msimu ujao. |
0 comments:
Post a Comment