Saturday, April 9, 2016

 Mkuu wa mkoa atembelea halmashauri ya Busekelo wilaya ya Rungwe na kuongea na watumishi, madiwani na viongozi ea dini, vyama vya Siasa na wazee maarufu
Amewapongeza watumishi wa halmashauri hiyo Mpya kuhamia Busekelo na amehaidi kufuatilia suala la Umeme kupelekwa haraka nyumba za watumishi wa halmashauri hiyo

0 comments:

Post a Comment