Mkuu wa Mkoa atembelea halmashauri ya Rungwe na kuongea na watumishi, madiwani, viongozi wa dini, Siasa, wazee maarufu na Kamati Ulinzi na usalama
Amewataka madiwani kuisimamia halmashauri kuhakikisha wanakagua miradi itakayotekekezwa inakidhi viwango na inaendana na thamani ya Fedha
Amesisitiza nidhamu ya uwajibikaji na kutatua Kero za wananchi kwa wakati na hivyo amewataka watumishi na watendaji ngazi zote kuacha kufanya kazi kwa mazoea





0 comments:
Post a Comment