Wednesday, April 27, 2016

AUNT NA IYOBO

DAR ES SALAAM: Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amekwaa skendo ya kudaiwa kumsaliti mpenzi wake, Moses Iyobo na kuchepuka na jamaa aliyetajwa kwa jina moja la Mula.

Chanzo kilicho karibu na mwigizaji huyo kimevujisha ubuyu kuwa, Aunt amekuwa akimsaliti Iyobo kwa muda mrefu lakini amelifanya jambo hilo kuwa siri… 

0 comments:

Post a Comment