Posted by Williammalecela.com on Saturday, April 02, 2016
Aunt Ezekiel
DAR
ES SALAAM: MAMA aliyejitambulisha kuwa ni mama mzazi wa dansa wa Nasibu
Abdul ‘Diamond’ Moses Iyobo, amefungukia habari iliyozagaa mitandaoni
kuwa mwanaye ameachana na mzazi mwenziye, mwigizaji Aunt Ezekiel kwa
kusema habari hizo si za kweli.
0 comments:
Post a Comment