Saturday, April 16, 2016

KAJALA Masanja amewasihi mastaa wenzake wajifunze kuwekeza hela wanazopata kwa kuwa
kuna kipindi kitafika ustaa utaisha na kutakuwa hakuna kitu kingine cha kuwaingizia kipato.

0 comments:

Post a Comment