Waandishi wetu,Habari
ya mtoto mzuri Wema Sepetu ‘Madam’ kumwagana na mpenzi wake, Idris
Sultan si ngeni masikioni mwa wapenda ubuyu, imetapakaa kwenye mitandao
ya kijamii lakini Amani limenasa sababu kubwa inayodaiwa
kusababisha penzi hilo kuvunjika, twende pamoja.
Mwishoni mwa wiki iliyopita, wawili hao waliripotiwa kumwagana rasmi ambapo haikubainika mara moja sababu.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
kusababisha penzi hilo kuvunjika, twende pamoja.
Mwishoni mwa wiki iliyopita, wawili hao waliripotiwa kumwagana rasmi ambapo haikubainika mara moja sababu.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment