Dar es Salaam: Hivi karibuni, Mtandao wa The Net Worth
(www.the-net-worth.com) umetangaza utajiri wa staa wa Bongo Fleva,
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ (26) ambapo kwa mujibu wa jarida hilo,
nyota huyo ana utajiri wa dola milioni 4 za Kimarekani (sawa na zaidi ya
shilingi bilioni 8.75), jambo lililozua maswali yapatayo 6 miongoni mwa
Wabongo.
Hahahaaa anapiga kazi so ni haki yake kupiga pesa,by mukebezi blog
ReplyDelete