Friday, May 27, 2016


Wasanii wanaofanya vizuri kwenye bongo flava ambao wiki kadhaa walikuwa kwenye bifu zitu hadi kufikia kutishiana na kutukanana mitandaoni huku kisa kikiwa bado hakijulikani.Vanessa na shilole watakuwa na show ya pamoja weekend hii.
Vanessa ameshare tangazo linaloonyesha kuwa na show na msanii shilole

Kwa kudhihirisha hilo shilole naye aka share tangazo hilo kuwa watakuwa pamoja na Vanessa

0 comments:

Post a Comment