Posted by Williammalecela.com on Saturday, May 28, 2016
Wengi
wanamjua Nay Wa Mitego kwa kutoa nyimbo nyingi sana zikiwa za utata,
mara nyingi hua anawachana watu maarufu bila kuwaogopa au ujumbe ndani
ya nyimbo kua na utata. Haya basi katika pitapita zetu tumepata kionjo
cha wimbo wake mpya ambao bado haijajulikana hasa utatoka lini.
0 comments:
Post a Comment