Saturday, May 28, 2016

Baada ya kusambaa kwa video ya Harmonize akimsema vibaya Wema Sepetu, watu wengi walilaani kitendo hicho huku kuna baadhi yao
wakimpongeza Harmonize. Habari kutoka kwa marafiki wa karibu wa Wema Sepetu zinasema kua aliumia sana alipoiona video hiyo kwa mara ya kwanza.

0 comments:

Post a Comment