Posted by Williammalecela.com on Saturday, May 28, 2016
Mwigizaji
wa Tanzania ambaye ni mpenzi wa zamani wa mwimbaji Diamond
Platnumz,Wema Sepetu ameonyesha wazi anaungana na mamilioni ya
Watanzania wengine wanaomsupport mwimbaji huyo ambaye ni Mtanzania pekee
anaewania tuzo ya kituo cha TV cha Marekani BET.
0 comments:
Post a Comment