Thursday, May 5, 2016

jk1Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza na Naibu Mkurugenzi Kanda ya Afrika wa  Gates Foundation ya Marekani, Haddis Tadesse, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, May 5, 2016.
(Picha na Bashir Nkoromo).
jk2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiagana na Naibu Mkurugenzi Kanda ya Afrika wa  Gates Foundation ya Marekani, Haddis Tadesse, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, May 5, 2016. (Picha na Bashir Nkoromo).

0 comments:

Post a Comment