Posted by Williammalecela.com on Wednesday, May 18, 2016
 |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makalla akutana na wenyeviti wa vijiji, watendaji wa vijiji na kata halmashauri ya Mbeya
Mkuu wa mkoa amewataka wakuu wa idara hiyo kuwaelekeza wakandarasi
wanaotekeleza miradi mbalimbali vijijini kuwashirikisha viongozi wa
vijiji kwakuwa wananchi ndiyo wanufaika wa miradi hiyo Aidha
amewataka viongozi hao kuhakikisha wanasimamia taarifa za mapato na
matumizi katika vijiji vyao ili kuondoa manunguniko kwa wananchi
wanaotaka kujua juu ya matumizi ya fedha za umma katika Vijiji vyao |
0 comments:
Post a Comment