Posted by Williammalecela.com on Wednesday, May 18, 2016
 |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makalla atembelea shirika la reli Tanzania na zambia
akagua uharibifu wa miundombinu ya reli inayotozwa na wizi wa vyumba
uchimbaji mchanga na kokoto Mkuu wa mkoa amewashukia wezi wa vyuma vya reli na wananchi wanaochimba mchanga na kokoto na kuathiri nguzo za reli ya Tazara
Akiongea na viongozi wa vijiji reli inakopita , viongozi wa Tazara na
wajumbe wa Kamati ya ulinzi na usalama mkoa amewataka viongozi vijiji
kushirikisna na jeshi la polisi kukomesha wizi na shughuli zinazoathiri
miundombinu ya reli Ameagiza jeshi la poilisi kuweka doria na kusaka wanunuzi wa vyuma hivyo. |
0 comments:
Post a Comment