Tuesday, May 3, 2016

WAPAMBE for some reason I don't know Bongo tuna Sheria ya kuwaita watu wa karibu na yoyote mwenye Uwezo kipesa WAPAMBE huwa mpaka Leo sijaelewa maana yake na infact hata Mimi nasikia huwa ninaitwa hilo jina MPAMBE haha .guys unapokuwa na Rafiki Tajiri au unamfanyia kazi Tajiri unayemfahamu Wabongo tuna Tabia ya kujisahau au kutokujua kabisa nini maana ya kuwa karibu na Tajiri ...ni Muhimu sana ukampima yule Rafiki Tajiri kama ana UTU kwa mfano tizama Bill Gates marafiki zake wote wa karibu alioanza nao ni Matajiri ambao wametoka kutokana na ukaribu wao na yeye nashangaa Bongo watu wanakuwa karibu na Mtajiri lakini hawana hata AKILI ya kufikiria kujifunza kutoka kama Tajiri waliyenaye karibu na infact in many cases Tajiri naye ana roho mbaya hana mpango wa kuwasaidia kutoka ila anafurahia kuwapa hela ndogo ndogo ya kula tu na pombe ....guys jifunze kutumia AKILI unamfanyia kazi Tajiri anayekusanya like Tsh. 1 Billion per Month kwa sababu ya Kipaji chako yeye anaendesha Benz wewe unaendesha Vits BIG NO! huna hata Nyumba ya uhakika ya kuishi for sure wewe ni Mburulazz ....Mimi.sijawahi kuongozana na Mtajiri bila kumuomba anionyeshe njia ya kutoka na mimi angalau niwe na Matunda ya kuwa karibu naye level ya MISIFA tu ya upambe ilishapita unless ni ushikaji wa kimagumashi Fulani hivi lakini kama karibu karibu hapana mlilie Tajiri akupe ndoano ukavue samaki sio akupe Samaki .halafu kumbuka MATAJIRI wengi huwa wana roho mbaya maana ni moja ya sababu ya kuifikia Utajiri lazima kuwa na roho mbaya Fulani hivi na ukitaka kupima roho ya Mtajiri uliye karibu naye angalia wanaomzunguka ukiona wote ni Masikini yaani hakuna hata Mmoja aliyetoka kimaisha kwa msaada wake ujue ni Mzee wa Roho mbaya so na WEWE utaishia kuwa kama waliomzunguka..kama vipi mshitue kwamba unaomba AKUSAIDIE ndoano binafsi sijawahi kufuatana na Matajiri bila kuwaomba njia moja tu ya kunisaidia njia yangu mwenyewe sawa ni washikaji tupo karibu lakini nionyeshe njie niende mwenyewe kuna wanaokubali ninawathamini na wasiokubali huwa Ninawa mark na ninaendelea kuwa nao karibu lakini najua kwamba hana msaada so ninakuwa Mchina nao! Guys Kataa Upambe wa bure! - le Mutuz

1 comment: