Wote ambao bado mmelogeka Na majipu ya JPM mpaka hamuoni hatari kubwa itakayotokea huko mbeleni kutokana Na Bunge kuzimwa tutawaweka kwenye sala zetu ili Mpate kuamka usingizini before it's too late and join with us. .
Yoyote anae support JPM kuminya Bunge La Tanzania atakuwa hajaenda shule Na Kama ameenda shule itakuwa hakusoma masomo ya history Au politics Maana Kama umesoma masomo hayo ungekuwa unajua kabisa serikali yoyote ya kidemokrasia inapoanza ku-silence vyama vya upinzani Kwa namna yoyote ile that country is going down the drain. Vyama vya upinzani Ni watanzania pia so Kama JPM anaweza kuwanyanyasa hao trust me eventually yoyote Yule ambae hatokubaliana Na JPM will meet the same fate! Trust me on that one.

wewe unaongelea uhuru gani em specify! wewe unavofkiria na elimu yako ya kuunga unga na kuiga utamaduni wa Nchi nyingine bas unafkri kuna watu hawana uelewa wa jambo linaendelea Nchini! kwanza wewe mwanamke una vishambenga nadhani vingi mitandaoni huwa nakuskiaga tu sasa kama unavyosema na kujifanya unataka kulia sujui! wakati huo uhuru unaozungumzia hueleweki nini hasa unachotaka kirekebishwe! Kwa sasa maadili yetu Watanzania yanavurugika kwa kasi mno hasa kufuata tu tamaduni za watu ovyo! Kwa hii video fupi nayoiona hapa, vipi kama kuna kijana asiejielwa si ndo ushoga utaongezeka kwa kudai uhuru usio kuwa na msingi. Em ongea kisomi kama unajaribu kwa msomi sio kupotosha watu
ReplyDeleteHivi le Mutuz, huyu mwanamke hana washauri? NI rafiki yako I heard, kwa nini usimwambie arudi shuleni? She doesn't make any sense ila somehow anajiona anaongea point huku akichekesha jamii.
ReplyDelete