Mkuu wa Mkoa wa mbeya atembelea kampuni ya Cocacola Kwanza mbeya na kukabidhiwa madawati 100 ikiwa ni uzinduzi wa kampuni ya cocacola ya kuchangia madawati ambapo kampuni hiyo imepanga kuchangia madawati 500 kwa mwaka
Ameishukuru kampuni hiyo kwa mchango wake huo wabkuchangia madawati, kudhamini michezo ya shule za sekondari ( Umiseta) na kusaidia kulipia ada wanafunzi wasiojiwezaAmeipongeza kampuni hiyo kwa kuwa kampuni ya 6 kwa ubora katika Afrika, pia kampuni ya Kwanza kati ya makampuni 21 ya kampuni tanzu ya cocacola
Cocacola kwanza imeongeza ajira kwani kati ya wafanyakazi 300 ni wafanyakazi 2 tu wa kigeni na waliobaki wote ni watanzania















0 comments:
Post a Comment