Tuesday, May 17, 2016

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala atembelea kikosi cha jeshi la wananchi 44KJ mbalizi na hospitali kuu ya kanda ya Jeshi
Ameridhishwa na hali ya usalama mpaka wa Tanzania na nchi za Malawi na Zambia
Aidha amefurahishwa na huduma za zinazotolewa na hospitali ya jeshi kwa wananchi Raia, wanajeshi na familia za jeshi





0 comments:

Post a Comment