Posted by Williammalecela.com on Tuesday, May 17, 2016
 |
Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amempandisha cheo mwanaye na kufikia ngazi ya Meja Jenerali.
Muhoozi
Kainerugaba
anatambulika kama mtu mwenye nguvu sana katika jeshi la
nchi hiyo na wengi wanaamini kuwa anatengenezwa kwa ajili ya kumrithi
baba yake ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 30 sasa.
Jenerali
Kainerugaba amepinga kuwa baba yake anajitengenezea siasa za kifalme,
laikini pia akiweka wazi malengo yake ya kuwa mwanasiasa. |
Huyu Muhozi ajapandishwa cheo sababu ya baba yake huyu jamaa amesomea mambo ya kijeshi kutokea Uganda.UK.USA.South Africans.na Misri. So is well trained soldiers.kwa hiyo muache bra bra he deserve. Hongera Ndugu.
ReplyDelete