Posted by Williammalecela.com on Tuesday, May 17, 2016
 |
| Mbunge wa Njombe CCM Viti Maalum anayekimbiza sana Bungeni sasa hivi kwenye Wabunge wabebezzz Mh. Neema Mgaya Jumapili kwenye Kitchen Party ya Mtoto wa Mbunge wa CCM Viti Maalum UWT Mh. Amina Makilaki iliyofanyika Dunken House Mikochen na kuhudhuriwa na Wabunge Wabebezzz kibao kutoka CCM live!! |
 |
| Waheshimiwa Wabunge wa CCM wanaokimbiza Bungeni kushoto ni Neema Mgaya na Maria Kangoi huko bungeni kumekucha U know ona Wabebezz wakareezz Bungeni U know live!! |
0 comments:
Post a Comment