Waambata wa kijeshi wa nchi 5 wamtembelea mkuu wa mkoa wa Mbeya . Waambata waliofika na kufanya kikao na Mkuu wa mkoa ni wa nchi za Marekani, Zambia , Namibia, Malawi , Kenya na Burundi
Amewaeleza waambata hao kuwa hali ya mahusiano ya Tanzania na nchi za Makawi na Zambia ni shwari na wananchi wa nchi zote wanafanya biashara kwa amani na utulivu
Amekipongeza jeshi la wananchi katika mkoa wake kwa namna linavyoshirikisna na Raia na ametaja kuwa hospitali ya jeshi mbalizi, JKt itende wananchi wanapata huduma vizuri 







0 comments:
Post a Comment