Mrembo anayedaiwa ‘kutembea’ na Diamond, Irene Hilaly ‘Lynn’.
Stori: Mayasa Mariwata,
BINTI anayedaiwa kubanjuka kimalovee na staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul
‘Diamond Platnum’ anayejulikana kwa jina la Irene Hilaly ‘Lynn’ kumbe
ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Msimbazi Centre aliyeacha masomo
akiwa kidato cha tatu mwaka jana.
0 comments:
Post a Comment