Diva kutoka Kenya asiyeishiwa vituko, Huddah Monroe amepata dili la ubalozi wa vipodozi.
Huddah ni mmoja kati kati ya warembo maarufu Afrika Mashariki ambao wamejitengenezea brand kubwa na kuanza kupiga dili kibao kutokana na jina lake. Huddah kwa sasa atakuwa ni balozi wa vipodozi vya BrightenMi kwa Afrika Mashariki japo bado hajaweka wazi huo mkataba utakuwa ni wa muda gani.
Kupitia akaunti yake ya instagram, Huddah alipost piha na kuandika: “Meet your new#BrightenMi@brightenmicosmetics BRAND AMBASSADOR for the East African Region.”
0 comments:
Post a Comment