Thursday, May 26, 2016

DIAMOND (1)
Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amenyooshewa kidole na baadhi ya watu wake wa karibu tangu kitambo wakidai kuwa, toka kuukwaa umaarufu kupitia sanaa hiyo na kusemekana  akaunti yake  benki inasoma shilingi bilioni 8, amekuwa na dharau wakiitaja ni kwa asilimia mia moja, Amani lina kila kitu.
Kwa mujibu wa watu hao, wakiwemo waliyosoma naye shule ya sekondari, Diamond wa sasa si yule wa zamani kwa vile ana fedha nyingi na ana jina kubwa huku pia akijulikana kimataifa.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:

Post a Comment