Diamond platnumz ameamua kuzima zile stori kuwa ametoka kimapenzi na video model wa wimbo wa Rayvanny ‘Kwetu’.Kupitia instagram yake Diamond amesema waliotengeneza taarifa hizo wamechelewa sana. Hii ndio post ya maneno na picha aliyotumia“diamondplatnumzRoho ya SIMBA!!!…. wanajaribu ila hawatokaa Waweze… Nakupenda Mpaka Naugua! @Zarithebosslady 💞😙😚💞 #Mmechelewa 😛😝😛”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment