Friday, May 20, 2016

 
Hamida Hassan na Mayasa Mariwata, Ijumaa
LICHA ya kukana kuwa hakufika kwenye pati ya sherehe ya kuzaliwa ya mama yake Wema, Mariam Sepetu iliyofanyika katika ukumbi wa Samaki Samaki, Masaki jijini Dar es Salaam juzikati,
inadaiwa kuwa Idris Sultan, mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Choice FM, ambaye ni mpenzi wa sasa wa muigizaji nyota Wema Sepetu, alizuiwa getini kuingia ndani ya ukumbi, kisa na mkasa, Ijumaa lina kila kitu.


0 comments:

Post a Comment