Saturday, May 7, 2016

 Siri nzito! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kuvuja kwa picha za mzazi mwenzake na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,
Zarina Hassan ‘Zari The Bosslady’ na mtalaka wake, Ivan Ssemwanga wakiogelea kwenye bwawa moja nchini Afrika Kusini ‘Sauz’. 

0 comments:

Post a Comment