Posted by Williammalecela.com on Wednesday, June 29, 2016
Jana usiku kituo cha televisheni cha Clouds kupitia kipindi cha Take
One kinachoendeshwa na Zamaradi Mketema kilirusha mahojiano na shoga
mmoja maarufu kwa jina la Kaoge. Haya ni maoni ya watumiaji wa mitandao
ya kijamii kuhusu kipindi hicho.
0 comments:
Post a Comment