Tuesday, June 21, 2016


Chege ni miongoni mwa wakali wenye majina yao ndani ya bongofleva, hapa alipata time na kufanya interview na Millard Ayo ambapo kazungumzia habari ambazo ziliwahi kuandikwa na kumnyima furaha maishani mwake, Chege amesema>>>’habari iliyoninyima ni ile ya hirizi kwa sababu kitu kilichotokea ni msiba lakini katika msiba mtu anaongea utani ambao sio mzuri, mtu anaamua kuandika kwa kuhisi tu’


>>>‘nilikuwa nimefunga kitamba upande wa kushoto kwa sababu ya msiba wa Mez B, msiba umetokeea na tulikuwa na show usiku huo kwa hiyo ilibidi twende kwa stlye hiyo, tulivaa t-shirt zinazofanana mimi na Temba na tulifunga vitamba vyeusi, mtu kakurupuka kaandika kitu ambacho sio kizuri sikupenda kwa kweli’

Unaweza kuangalia video hii hapa chini

0 comments:

Post a Comment