Gavana wa kwanza wa benki kuu ya Tanzania na muasisi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mzee Edwin Mtei amesema Rais Dkt Magufuli anaipenda kwa dhati Tanzania na yupo tayari kuitumikia hivyo aungwe mkono.
Maneno haya yapo katika gazeti la Mwananchi Na. 5815 la Jumatano ya Juni, 29,2016 ukurasa wa 38.
Upinzani si kupinga kila kitu wakati mwingine uwe wenye mawazo mbadala
na chanya kwa ustawi wa Taifa letu kwani maendeleo hayana itikadi.

0 comments:
Post a Comment